Amesahau kusujudu sijda ya kusahau


Swali: Vipi ikiwa mtu anatakiwa kusujudu sijda ya kusahau ambapo angesujudu kabla ya kutoa salamu kisha akatoa salamu na akasahau kusujudu?

Jibu: Katika hali hii sujudu baada ya kutoa salamu kisha atoe salamu.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Nuur ´alaad-Darb (12) http://binothaimeen.net/content/6765
  • Imechapishwa: 22/01/2021