Amesahau kusoma du´aa ya kufungulia swalah

Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kusahau du´aa ya kufungulia swalah na akaja kuikumbuka katika Rak´ah ya pili, je, ailete?

Jibu: Imepita mahala pake. Ni Sunnah na sio wajibu. Hata kama utaiacha kwa kukusudia huna juu yako kitu. Hii imeshapita mahali pake. Asiileti katika Rak´ah ya pili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (70) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-06.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020