Amesahau kupangusa masikio wakati wa kutawadha

Swali: Ni ipi hukumu ya ambaye katawadha na akapangusa kichwa chake lakini hata hivyo amesahau kupangusa masikio yake?

Jibu: Akikumbuka papo hapo basi anatakiwa kupangusa masikio yake kisha aoshe miguu yake. Ama kama kumepita muda mrefu au tayari ameshaswali basi anatakiwa kuirudi swalah yake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
  • Imechapishwa: 30/09/2018