Amrehemu atakayeswali kabla ya ´Aswr Rak´ah nne II

Swali: Ni ipi Sunnah ya ´Aswr?

Jibu: Imependekezwa kuswali Rak´ah nne kabla yake:

”Allaah amrehemu mtu ambaye ataswali Rak´ah nne kabla ya ´Aswr.”

Swali: Ni kwa njia ya kuzidumisha au…

Jibu: Bora akidumu nazo ili aweze kupata rehema hizi:

”Allaah amrehemu mtu ambaye ataswali Rak´ah nne kabla ya ´Aswr.”

Swali: Kwa hiyo mtu adumu kuziswali?

Jibu: Ikiwepesika kufanya hivo. Inapendeza.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21652/حكم-المداومة-على-صلاة-اربع-قبل-العصر
  • Imechapishwa: 08/09/2022