Amepitwa Rak´ah mbili na imamu


Swali: Kuna mtu alijiunga na imamu baada ya kupitwa na Rak´ah mbili. Baada ya imamu kutoa salamu akasimama na kuswali Rak´ah moja na akasahau kuwa alipitwa na Rak´ah mbili. Hakukumbuka isipokuwa baada ya kuisha wakati wa swalah. Analazimika kufanya nini?

Jibu: Arudi kuswali upya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-3-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 16/11/2018