Amepata maji kabla wakati wa swalah haujaisha

168- Nilimsikia baba yangu akisema kuhusu mtu ambaye amefanya Tayammum kisha akapata maji ndani ya wakati wa swalah. Akasema:

“Asirudi kuswali.”

Abu Salamah amesema:

“Asirudi kuswali.”

Ibn-ul-Musayyab amesema:

“Airudi.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdullâh bin Ahmad bin Hanbal (kfk. 290)
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/130-131)
  • Imechapishwa: 07/02/2020