Swali: Mkazi akianza kupangusa juu ya soksi na kukapita kitambo kidogo kisha baadaye akasafiri.

Jibu: Akamilishe kufuta kama mkazi; mchana mmoja na usiku wake. Akisafiri kabla ya kupangusa basi atapangusa kwa muda wa siku tatu. Na kinyume chake; akifika mjini mwake baada ya kukamilisha mchana mmoja na usiku wake basi hatopangusa tena.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21650/حكم-من-مسح-وهو-مقيم-ثم-سافر
  • Imechapishwa: 04/09/2022