Ameona mkojo kwenye nguo baada ya swalah nyingi

Swali: Mtu amepata athari ya mkojo kwenye chupi baada ya kuswali swalah nyingi. Je, anapaswa kuzirudi swalah hizo?

Jibu: Hapana, asizirudi. Swalah zake ni sahihi, kwa sababu hakujua juu ya hilo. Lakini aioshe kwa ajili ya huko mbeleni.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (17) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtf-08011435.mp3
  • Imechapishwa: 26/10/2019