Ameona maji baada ya kuanza kuswali

184- Nilimuuliza baba yangu juu ya mtu ambaye amefanya Tayammum na akaanza kuswali na punde tu baada ya hapo akaona maji. Akajibu:

“Sijawahi kusikia kitu kama hicho, lakini khabari iliyonifikia ni kwamba Anas bin Maalik anaonelea kwamba aendelee na swalah yake.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/139-140)
  • Imechapishwa: 26/03/2021