Ameokota pesa kwenye hoteli Makkah


Swali: Baba yangu aliokota kiwango cha pesa karibu na mlango wa hoteli Haram. Akawauliza walioko pale, lakini hakuna yeyote aliyejua pesa ni za nani. Akarudi ar-Riyaadh akiwa na pesa hizi. Ni lipi la wajibu kwake?

Jibu: Lililo la wajibu kwake ni yeye kuwarudishia pesa hizo wafanyikazi wa hotelini. Mwenye nazo atarudi kuziulizia. Kwa hivyo akawakadhibi nazo wafanyikazi wa hotelini.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (59) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-29-01-1438_0.mp3
  • Imechapishwa: 03/11/2017