Amemuoa mama yake wa kumnyonyesha


Swali: Kuna mtu alimuoa mama yake wa kumnyonyesha. Afanye nini?

Jibu: Arejee kwa hakimu ambaye atamleta mwanamke na kumuhoji. Ikimthibitikia basi atawatenganisha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa' al-Maftuuh fiy Masjid Qubaa' http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17626
  • Imechapishwa: 20/02/2018