Amemuahidi mke kwamba hatoongeza mwanamke mwingine


Swali: Mwanamume amemuahidi mke wake kwamba hatoongeza mke juu yake. Lakini baada ya muda fulani akahitajia kuongeza mke. Je, inajuzu kwake kuoa na kwenda kinyume na ahadi yake?

Jibu: Aoe na atoe kafara kwa ajili ya kiapo chake. Atoe kafara kwa ajili ya kiapo chake na aoe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (85) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17635
  • Imechapishwa: 23/06/2018