Swali: Mwenye kumlazimisha mke wake na akamwingilia mchana wa Ramadhaan. Ni kipi kinachowalazimu?

Jibu: Mwanamke hakuna kinachomlazimu, kwa sababu alilazimishwa. Ama kuhusu mwanaume ni lazima kwake kutoa kafara na kulipa siku hiyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 24/11/2019