Amelala koma/ICU wiki mbili


Swali: Kuna mtu alilala kwenye koma kwa muda wa wiki mbili au zaidi. Je, ni lazima kwake kukidhi zile swalah zilizompita?

Jibu: Ndio, mpaka kwenda siku tatu. Mtu akilala kwa muda wa siku tatu kisha akaamka, atazikidhi. Ama ikiwa ni zaidi ya siku tatu haimlazimu kuzikidhi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (96) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahthat-12021440h.mp3
  • Imechapishwa: 29/05/2019