Amelala koma/ICU wiki mbili 02


Swali: Nililala koma kwa muda wa takriban wiki mbili. Je, nalazimika kulipa swalah?

Jibu: Wiki mbili ni muda mrefu. Ikiwa ni siku tatu au chini ya hapo unatakiwa kulipa. Wiki mbili hulazimiki kulipa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=bh2DpsHpwcU
  • Imechapishwa: 10/05/2020