Amekunywa maji dakika mbili baada ya kuingia alfajiri

Swali: Ni wajibu kwa ambaye amekunywa maji dakika mbili baada ya Fajr kulipa siku hiy0?

Jibu: Ikiwa ana uhakika kuwa amekunywa maji baada ya kuingia alfajiri basi ni wajibu kwake kulipa. Ama akiwa hana uhakika kimsingi ni kwamba usiku bado unaendelea.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Liqaa’ Ramadhwaaniy Maftuuh 1437-09-20 http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/L-20-09-1437-01_01_0.mp3
  • Imechapishwa: 23/06/2017