Amekumbuka katikati ya swalah kuwa amepangusa juu ya soksi zaidi ya masaa 24

Swali: Imamu amekumbuka katikati ya swalah kwamba amepangusa juu ya soksi zake zaidi ya mchana mmoja na usiku wake. Ni lipi la wajibu juu yake?

Jibu: Anatakiwa kutoka katika swalah, avue soksi, atawadhe pamoja na kuosha miguu yake na kuswali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (89) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D9%8A%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-08-07-1439.lite__0.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2018