Amekula kwa kusahau katika swawm ya sunnah

Swali: Mtu akifunga swawm ya sunnah kisha akala kwa kusahau. Je, akamilishe swawm yake?

Jibu: Ndio. Akamilishe swawm yake. Kusahau kumepewa udhuru. Inahusiana na swawm ya faradhi na ya sunnah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (12) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdah%20Fiqh-19-10-1434_0.mp3
  • Imechapishwa: 17/09/2017