Swali: Mwanamke akisafika kutokana na hedhi au damu ya uzazi maeneo ambapo hawezi kuoga kama vile sokoni au shuleni – je, inafaa kwake kufanya Tayammum?

Jibu: Hapana. Asifanye Tayammum. Wakati ni mpana. Wakati wa Dhuhr, ´Aswr, Maghrib na ´Ishaa ni mpana. Aoge nyumbani na aswali.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Khaatam-ul-Mursaliyn https://godian.af.org.sa/sites/default/files/2017-10/lqa-mftoh-godian.mp3
  • Imechapishwa: 29/09/2022