Amejiharamishia pesa ya mke wake


Swali: Mume akimwambia mke wake kwamba hatochukua chochote kutoka katika pesa zake wala hatokula chochote na kwamba ni haramu kwake na baadaye akala. Kuna chochote kinachomlazimu? Je, analazimika kutoka kafara?

Jibu: Kama alisema ni haramu kwake, basi atoe kafara ya yamini.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (85) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17635
  • Imechapishwa: 29/06/2018