Amegundua kuwa ameswali na nguo zenye najisi

Swali: Mtu ameswali na kwenye nguo zake kulikuwa najisi, jambo ambalo alilijua baada ya kumaliza kuswali. Je, ni lazima kuirudi swalah yake?

Jibu: Hapana. Swalah yake ni sahihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 30/10/2020