Amegundua baada ya swalah kuwa mkeka una msalaba

Swali: Leo nimeswali Dhuhr katika mkeka. Baada ya swalah nikabaini kuwa mkeka ulikuwa na msalaba. Ni ipi hukumu ya hilo?

Jibu: Swalah ni sahihi na himdi zote ni Zake Allaah.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (01) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=190884#219018
  • Imechapishwa: 03/01/2018