Swali: Kuna mtu amevaa soksi pasi na kuwa na wudhuu´. Akazisahau na akapungusa juu ya soksi hizo na akaswali asubuhi mpaka jioni. Je, ni lazima arudi swalah hizo?

Jibu: Ni lazima azirudi. Ameziswali pasi na kuwa na twahara.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (40) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatsah%20%20-%2028%20-%2012%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017