Swali: Nilivaa soksi kabla ya kutawadha. Kisha ulipofika wakati wa swalah nikatawadha na kufuta juu ya soksi kwa kusahau ambapo nikaswali Dhuhr, ´Aswr na Maghrib. Ni ipi hukumu ya swalah zangu?

Jibu: Unatakiwa kuzirudi swalah zako. Kwa sababu hukuvaa soksi ukiwa na twahara.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (107) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoulahfan-22-06-1441.mp3
  • Imechapishwa: 07/09/2020