Amefunga kimakosa ijumaa na siku ya shaka

662- Nilisema kumwambia Ahmad: “Mtu ambaye ana mazowea ya kufunga na kufungua siku ya kufuatia ambapo ikaangukia siku ya ijumaa. Ni ipi hukumu ya hiko?” Akajibu: “Haina neno. Kilichochukizwa ni kukusudia kufunga siku ya ijumaa.” Nikasema: “Akifunga siku ya shaka kimakosa?” Akajibu: “Nataraji ni sawa muda wa kuwa hakukusudia kufunga siku ya shaka.”

  • Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 137
  • Imechapishwa: 26/03/2021