Swali: Nimesafiri kabla ya swalah ya ijumaa na nilipokuwa katika safari yangu na huku watu wanaswali swalah ya ijumaa nikafika katika mji wangu. Nifanye nini?

Jibu: Ukifika katika makazi yako basi swali ijumaa pamoja nao.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/كم-المسافر-إذا-أدرك-الجمعة-في-مقر-إقامته
  • Imechapishwa: 11/06/2022