Amefariki Shawwaal kabla ya kulipa Ramadhaan ya mwaka hana

Swali: Kafa baba yake kwa maradhi yake katika Shawwaal na hakufunga Ramadhaan ya kabla yake. Upi wajibu wetu?

Jibu: Maadamu alishikwa na maradhi, hamna wajibu wowote. Hili limepokelewa kwa maafikiano – kama al-Baghawiy (Rahimahu Allaah).

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
  • Imechapishwa: 10/05/2020