Ameenda kwa tabibu wa miti ya kienyeji bila kujua kwamba ni mchawi


Swali: Kuna mwanamke alienda kwa mchawi bila kujua ya kwamba ni mchawi. Akapokea aliyompa na akayatumia pamoja na kutambua ya kwamba alikuwa mgonjwa. Je, ana dhambi?

Jibu: Ni wajibu kwake kutubia na kuomba msamaha. Midhali amezinduka katika mustakabali asirudi kufanya hivo.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (01) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=190884#219018
  • Imechapishwa: 23/01/2018