Ambaye haswali anatakiwa kushtakiwa


Swali: Kuna mtu haswali na nimeshamnasihi sana pasi na kufua dafu. Je, niwaeleze kaka na ndugu zake juu ya hili?

Jibu: Ndio. Mweleze ambaye anaweza kumchukulia hatua na kumlazimisha kuswali. Ikiwa nchini kuna wako polisi wa kidini, waeleze. Ama ikiwa hakuna waeleze kaka na ndugu zake ambao wanaweza kumchukulia hatua.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (85) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17635
  • Imechapishwa: 25/06/2018