Swali: Mtu akinipa amana sawa na kiwango cha kununua bidhaa kisha baadaye asiinunue. Je, ni wajibu kwangu kumrudishia amana hii?

Jibu: Ikiwa biashara hiyo ina khiyari kisha mnunuzi akaacha kununua baada ya kukupatia amana, amana hiyo ni yako. Amana inachukua nafasi ya kuzuiliwa bidhaa ile kutokamana na wateja.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (83) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-15-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2018