Allaah yuko mahali?


Swali: Je, mtu aseme kuwa Allaah ana sehemu?

Jibu: Mtu aseme kuwa Allaah Yuko juu (Jalla wa ´Alaa). Hayuko kwenye sehemu Aliyoumba katika viumbe Wake. Kusema ya kwamba Yuko juu [ya mbingu saba], hii ndio haki.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (05) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_05.mp3
  • Imechapishwa: 30/06/2018