Swali: Naweza kusema kuwa Allaah ni rafiki yangu (صديقي)?

Jibu: Hapana. Haijuzu. Marafiki ni viumbe. Allaah hasifiwi kuwa ni rafiki. Anasifiwa kuwa ni Mola, Mungu na muabudiwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-02.mp3
  • Imechapishwa: 02/06/2018