Allaah awalaani watengeneza picha


Swali: Je, inajuzu kumlaani mtengeneza picha na mwimbaji?

Jibu: Ndio, kwa jumla. Lakini usisemi “Allaah Mlaani fulani”. Kinyume chake sema “Allaah Awalaani watengeneza picha”, kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

لَّعْنَةُ اللَّـهِ عَلَى الظَّالِمِينَ

“Laana ya Allaah iwe juu ya madhalimu.” (07:44)

فَلَعْنَةُ اللَّـهِ عَلَى الْكَافِرِينَ

“Basi laana ya Allaah iwe juu ya wakanushaji.” (02:89)

Sema kwa juma. Kuhusu kumlaani mtu kwa dhati yake, hili lina tofauti [kwa wanachuoni].

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (06) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_06.mp3
  • Imechapishwa: 28/06/2018