Allaah aupe nguvu ukewenza


Swali: Mke wangu yuko kwenye nchi yangu na siwezi kwenda kumleta kwa sababu ya matatizo ya kipesa. Nitazingatiwa ni mwenye kumdhulumu mke wangu endapo nitaoa hapa kwa sababu ya kuihifadhi heshima yangu?

Jibu: Hapana. Una haki ya kuoa wake wane:

مَثْنَىٰ وَثُلَاثَ وَرُبَاعَ

“… wawili au watatu au wanne.”[1]

Allaah akupe nguvu.

[1] 04:03

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (62) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd14-07-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 06/08/2017