Allaah amemruhusu mume kuoa hadi wake wane

Swali: Je, inajuzu kwangu kuoa mke wa pili kwa ajili ya sababu ya kidunia kama kwa mfano kwa ajili ya kujisahilishia kubaki katika mji fulani?

Jibu: Ndugu! Kuongeza mke wa pili, wa tatu na wa nne inajuzu. Allaah amemhalalishia. Kwa sharti ya kutimiza uadilifu kati ya wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/15216
  • Imechapishwa: 28/06/2020