Aliyevunjika kula kwa mkono wa kushoto

Swali: Je, inajuzu kwa mtu kula kwa mkono wa kushoto wakati ambapo mkono wake wa kulia umevunjika?

Jibu: Hakuna neno. Ale, atoe kupeana na kupokea kitu kwa mkono wa kushoto. Mkono wa kushoto ndio unasimama nafasi ya mkono wa kulia. Kadhalika mkono wake ukikatika asalimiane kwa mkono wa kushoto

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (43) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1432-03-17.MP3
  • Imechapishwa: 16/11/2014