Aliyemtaliki mke wake katika hedhi ni wajibu kumrudi


Swali: Mwenye kumtaliki mke wake katika hali yake ya hedhi. Je, kumrejea ni wajibu au…

Jibu: Ni wajibu. Mtume aliamrisha. Na maamrisho yanaashiria uwajibu. Ni wajibu kwa mume kumrudi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/10076
  • Imechapishwa: 08/03/2018