Aliyeko mbele ya Ka´bah anatazama wapi?


Swali: Je, inajuzu kwa mwenye kuswali kuiangalia Ka´bah?

Jibu: Mwenye kuswali anaangalia mahala pa Sujuud na haiangalii Ka´bah. Asiinue macho yake ikamshughulisha na swalah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13965
  • Imechapishwa: 14/04/2018