Aliyeacha anausiwa ndiye anapaswa kumuosha maiti

Swali: Maiti akiacha anausia kwa kumtaja jina mtu wa kumuosha. Je, ni lazima kutekeleza wasia?

Jibu: Ndio. Ni lazima kutekeleza wasia. Ikiwa yule ambaye ameusia anazijua hukumu za kuosha basi ndiye ana haki zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 16/10/2020