Aliswali kinyume na Qiblah ndani ya mji

Swali: Muislamu akibainikiwa kwamba aliswali kinyume na Qiblah baada ya kujitahidi na hayo yamefanyika ndani ya mji. Je, airudi swalah yake?

Jibu: Ndio. Kwa sababu alikuwa na uwezo wa kuwauliza watu na kutazama misikiti na mihrabu. Hakuwa na udhuru.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (96) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahthat-12021440h.mp3
  • Imechapishwa: 14/06/2019