Alipe swalah na swawm zilizopita miaka kumi nyuma?


Swali: Kuna mtu katika ujana wake alicheza na swalah na swawm karibu miaka kumi. Je, alipe yaliyompita na kutubu?

Jibu: Atubu na kuwa na msimamo huko mbeleni.

Kuhusu yaliyompita, hakuwa muislamu. Mwenye kuacha swalah kwa kukusudia sio muislamu. Akitubu kwa Allaah anakuwa ameingia katika Uislamu upya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-09.mp3
  • Imechapishwa: 27/05/2018