Alama Ya Kukubaliwa Kwa Ramadhaan


Swali: Ni zipi alama za kukubaliwa kwa Ramadhaan?

Jibu:

إِنَّمَا يَتَقَبَّلُ اللَّـهُ مِنَ الْمُتَّقِينَ

“Hakika Allaah Anatakabalia wachaji Allaah”. (05:27)

Alama ya kukubaliwa ni mtu kuwa na uchaji Allaah. Ikiwa mtu yuko na Taqwa basi hii ni alama ya ukubaliwaji.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo%20%20-%2021%20-%2008%20-%201435.mp3
  • Imechapishwa: 09/04/2015