Swali: Tunasikia mara nyingi kunatahadharishwa juu ya ugaidi, kundi lililopotea na watu wenye fikira zilizopinda katika vyombo vya mawasiliano vya ndani na vya nje. Ni kipi kigezo cha hilo?

Jibu: Ni jambo mnalotambua kwamba wale wanaowakufurisha waislamu, nchi, watawala na waislamu ni watu walio na fikira zilizopinda. Wale wanaowashambulia watu waliopewa amani na kuwaua na kufanya milipuko nchini ni watu waharibifu wanaoeneza ufisadi ardhini. Hii ndio alama yao ya wazi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kaseti: al-Fitan wa Mawqif-ul-Muslim minhaa Tarehe: 1428-04-01/2007-04-18
  • Imechapishwa: 26/02/2021