Alama chache za Khawaarij


Swali: Je, Takfiyriyyuun wanahesabika ni Khawaarij?

Jibu: Ndio, haya ndio madhehebu ya Khawaarij. Kuwakufurisha waislamu ndio madhehebu ya Khawaarij. Khawaarij madhehebu yao yamekusanya kati ya kujivua katika utiifu wa mtawala, kuvunja umoja wa waislamu, kuwakufurisha waislamu, kuwaua waislamu na kuoenelea damu yao ni halali. Haya ndio madhehebu ya Khawaarij.

  • Mhusika: Imaam Swalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=oMoaMLGx4k0
  • Imechapishwa: 14/11/2017