al-Waadi´iy kuhusu mwanamke kuvaa suruwali

Swali: Ni ipi hukumu kwa mwanamke kuvaa suruwali nyumbani kwake akiwa na mume wake au wanawake wenzake?

Jibu: Inavyoonekana ni kuwa suruwali ni kujifananisha na maadui wa Uislamu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anasema:

“Atakayejifananisha na watu basi yeye ni katika wao.”

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=1943
  • Imechapishwa: 07/09/2020