Swali: al-Majiyd (Mtukufu na mwingi wa ukarimu) na al-Kaamil (Mkamilifu) ni katika Majina ya Allaah na inajuzu kumwita nayo na kumuomba Allaah kwayo?
Jibu: Allaah Anasifika kuwa ni al-Majiyd na al-Kaamil. Ama Jina ni al-Majiyd. Kuhusu al-Kaamil sio katika Majina ya Allaah. Lakini Anasifika kuwa ni Mkamilifu na ana ukamilifu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_05.mp3
- Imechapishwa: 29/06/2018