al-Majiyd na al-Kaamil ni majina ya Allaah?

Swali: al-Majiyd (Mtukufu na mwingi wa ukarimu) na al-Kaamil (Mkamilifu) ni katika majina ya Allaah na inajuzu kumwita nayo na kumuomba Allaah kwayo?

Jibu: Allaah anasifika kuwa ni al-Majiyd na al-Kaamil. Ama jina ni al-Majiyd. Kuhusu al-Kaamil sio katika majina ya Allaah. Lakini anasifika kuwa ni Mkamilifu na ana ukamilifu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (05) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_05.mp3
  • Imechapishwa: 31/05/2015