al-Lajnah ad-Daaimah kuhusu picha za video camera


Swali: Picha ambazo zinachukuliwa kwa kutumia ala ya video camera zinaingia katika ueneaji wa picha?

Jibu: Ndio. Hukumu ya kuchukua picha kwa video camera inajumuika katika makatazo na uharamu kutokana na ueneaji wa dalili.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.sahab.net/forums/index.php?app=forums&module=forums&controller=topic&id=141979
  • Imechapishwa: 22/04/2018