al-Husayn bin ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh) hakufanya uasi


Swali: Je, ni kweli kwamba al-Husayn (Radhiya Allaahu ´anh) alimfanyia uasi mtawala? Je, kule kwenda kwake ´Iraaq kunaitwa “uasi”?

Jibu: Hapana. al-Husayn hakufanya kitu kama hicho. Bali watu wa ´Iraaq walimuahidi ambapo baadaye wakamdanganya na hatimaye wakamuua.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (03) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/430/430.mp3
  • Imechapishwa: 03/04/2018