Swali: Mtu akitaka kwenda Msikitini katika ile saa ya kwanza (ambapo mtu anapata ng´ombe) ni wakati gani mtu ataenda katika nyakati za masaa ya zama zetu hizi? Ni moja kwa moja baada ya al-Fajr au ni baada ya kuchomoza kwa jua?

Jibu: Yote mawili yamesemwa. Imesemekana kuwa makusudio ya “saa ya kwanza” ni baada ya al-Fajr na wengine wamesema ni baada ya kuchomoza kwa jua. Nimemsikia Shaykh Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) akiipa nguvu kauli hii kwamba ni baada ya kuchomoza kwa jua.

  • Mhusika: Swali: Mtu akitaka kwenda Msikitini katika ile saa ya kwanza (ambapo mtu anapata ng´ombe) ni wakati gani mtu ataenda katika nyakati za masaa ya zama zetu hizi? Ni moja kwa moja baada ya al-Fajr au ni baada ya kuchomoza kwa jua? 1,8 Jibu: Yote mawili yamesemwa. Imesemekana kuwa makusudio ya “saa ya kwanza” ni baada ya al-Fajr na wengine wamesema ni baada ya kuchomoza kwa jua. Nimemsikia Shaykh Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) akiipa nguvu kauli hii kwamba ni baada ya kuchomoza kwa jua.
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-5-23.mp3
  • Imechapishwa: 09/11/2014